Team Wema wamfanyia suprise Wema katika siku yake ya kuzaliwa

Image result for wema sepetu picha

 Ikiwa leo Septemba 28, 2017, mwigizaji mahiri Bongo, Wema Isaac Sepetu almaarufu Keki ya Taifa, anasheherekea birthday yake, mashabiki wake wameungana kwa pamoja na kumfanyia surprise akiwa saluni kwa kumpelekea keki na shampeni wakiwa na matarumbeta.



  Kitendo hicho cha kushtukiza kilimfurahisha Wema kiasi cha kujikuta akijichanganya nao na kuanza kukata nyonga za kufa mtu.

Wema amezaliwa Septemba 28, 1987 na leo ametimiza rasmi miaka 29.

No comments: