Habari za hivi punde:watu 10 wafariki dunia kwa ajali



Habari zilizotufikia mchana huu wa October 9, 2017 kutoka Mwanza, ni kuhusu ajali iliyotokea ambapo watu 10 wanaripotiwa kufariki baada ya gari walilokuwepo aina ya Toyote Hiace kuzama kwenye Ziwa Victoria katika eneo la Kigongo Ferry, Mwanza.

No comments: