Rekodi ya Rapa Cardi B kwenye Muziki na katika Chart za Billboard Iko hapa

Rapa Cardi B ameweka rekodi ya kuwa msanii wa rap wa Kike wa pili kushika namba 1 kwenye chati za Billboard Hot 100 Bila Colabo katika wimbo wake.
Cardi B ameweka rekodi hii kupitia wimbo wake wa #BodakYellow. Awali rekodi hii ilikuwa ikishikiliwa na rapa Lauryn Hill toka November,14,1998 na wimbo wa“Doo Wop (That Thing),”.
Wasanii wakubwa kama Nicki Minaj, T.I , YG wamempongeza sana.
Minaj aliandika >“Congratulations to a fellow NEW YAWKA on a RECORD BREAKING this is the only thing that matters!!! Enjoy it@iamcardib.”
BILLBOARD HOT 100 TOP 10
1. Cardi B – “Bodak Yellow (Money Moves)”
2. Post Malone feat. 21 Savage – “rockstar”
3. Taylor Swift – “Look What You Made Me Do”
4. Logic feat. Alessia Cara & Khalid – “1-800-273-8255”
5. Luis Fonsi & Daddy Yankee feat. Justin Bieber – “Despacito”

No comments: