Jade Jones atwaa Medali ya Fedha- Taekwondo Grand Prix.

Jade Jones
Bingwa mara mbili wa Olimpiki kutoka Uingereza Jade Jones, amerejea katika ushindani baada ya kupata medali ya fedha kwenye mashindano ya mchezo wa Taekwondo Grand Prix nchini Morocco.
Jones, mwenye umri wa miaka 24, ameshinda kwa mara ya kwanza tangu ashinde medali ya shaba katika michuano ya Dunia mwezi Juni.
Nao Bianca Walkden na Mahama Cho walishinda dhahabu siku ya Ijumaa

No comments: