Tuzo za African Muziki Magazine Awards maarufu kama (AFRIMMA) zilifanyika usiku wa October 8,2017 nchini Marekani, Texas Dallas na kama utakuwa unakumbuka vizuri kuna wasanii mbalimbali wa Tanzania waliyokuwa wametajwa kuwania tuzo za AFRIMMA 2017 akiwemo muimbaji Diamond Platnumz.
Kwa upande wa wasanii wa Tanzania ni muimbaji Diamond Platnumz pekee ndio ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo za AFRIMMA 2017, ambapo ametangazwa kuwa msanii bora wa mwaka 2017, huku muimbaji Victoria Kimani wa Kenya akitangazwa kuwa msanii bora wa kike Afrika Mashariki.
LIST YA WASHINDI WA TUZO ZA AFRIMMA 2017
Best Male East Africa
Eddy Kenzo – Uganda
Diamond Platnumz – Tanzania – Winner
Jacky Gosee – Ethiopia
Ali Kiba – Tanzania
Navio – Uganda
Bebe Cool – Uganda
Sauti Sol – Kenya
Dynamq – South Sudan
Nyashinski – Kenya
Darasa – Tanzania
Best Female East Africa
Victoria Kimani – Kenya – Winner
Vanessa Mdee – Tanzania
Ester Aweke – Ethiopia
Avril – (Kenya)
Lady Jaydee (Tanzania)
Knowles Butera – Rwanda
Irene Ntale – Uganda
Akothee – Kenya
Dayna Nyange – Tanzania
Artist of The Year
Flavour (Nigeria)
Diamond Platnumz ( Tanzania) – Winner
Fally Ipupa- Congo
Wizkid (Nigeria)
Cassper Nyovest (South Africa)
Davido – (Nigeria)
Eddy Kenzo – Ugandan
Tekno – Nigeria
Mr Eazi – Nigeria
C4 Pedro – Angola
AFRIMMA Video of The Year
Toofan – Terre (Togo)
Davido – If (Nigeria)
Wizkid – Come Closer (Nigeria)
Runtown – Mad Over You (Nigeria)
Casper Nyovest – Tito Mboweni (South AFrica)
Emtee ft Nasty C – Winning (South Africa)
Diamond Platnumz ft Ray Vanny – Salome (Tanzania)
Victoria Kimani ft Donald – Fade Away(Kenya/South Africa)
Fally Ipupa – Eloko Iyo (Congo) – Winner
C4 Pedro ft Sautisol- Love again (Angola/Kenya)
Song of The Year
Runtown – Mad over you (Nigeria)
Davido – If (Nigeria ) – Winner
Diamond Platnumz ft Rayvanny – Salome (Tanzania)
Babe Wodumo ft Mampintsha – Wololo (South Africa )
Wizkid – Come Closer(Nigeria)
Caspper Nyovest – Tito Mboweni(South Africa)
Fally Ipupa – Eloko Iyo(Congo)
Toofan – Terre (Togo)
Darasa ft Ben Pol – Muziki (Tanzania)
MHD- Bravo (Guinea Conakry) Diamond Platnumz anyakua tuzo Marekani
No comments: