Maneno ya Zari The Boss Lady kuhusu Issue za Diamond Platnumz na Hamisa baada ya kusikiliza Interview
Labels:
Udaku
Kupitia SnapChat yake haya ni Maneno ya Zari The Boss Lady kuhusu Issue za Diamond Platnumz na Hamisa Mobetto baada ya kusikiliza Interview aliyofanyiwa leo na kituo cha CloudsFm.
Kwenye Interview, Diamond alikiri kuwa Zari alikuwa anajua kuwa Hamisa ana ujauzito wake na kwamba walishaongea ingawa kuna mambo mengine hakumuambia Zari.
Post Za Zari Zilisema…..
#ZariSnapChat >Sita jishughulisha na jambo hili tena, Nina heshima yangu ya kutunza kwenye Corporate World, Hii ndio iko hatarini, Enjoy Siku Yako
No comments: