Tazama ratiba ya mechi zilizo salia kati ya yanga kukutana na simba

Image result for picha za simba sports club
Ile Derby inayopendwa na wapenzi wasoka na mashabiki waliowengi Afrika Mashariki yaani Simba Na Yanga inatarajiwa kutimua vumbi mnamo tarehe 28 octoba mwaka huu ambapo mabingwa wa tetezi wa ligi hiyo watakua dimbani kuwakaribisha mahasimu wao Simba katika mchezo utakaopigwa katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam.

Zifuatazo ni mechi amba klabu hizo zitacheza kabla hazijakutanza Siku hiyo.

•Mechi 3 Zilizosalia Simba kabla hajacheza na Yanga
1. 01.10.2017 Stand United vs Simba (Kambarage Shinyanga)
2. 15.10.2017 Simba vs Mtibwa Sugar (Uhuru Dar Es Salaam)
3. 21.10.2017 Simba vs Njombe Mji (Uhuru Dar Es Salaam)


•Mechi 4 Zilizosalia kabla ya Yanga kukutana na mahasimu wao(Simba)
1. 23.9.2017 Yanga vs Ndanda - Uhuru (Dar Es Salaam)
2. 30.9.2017 Yanga vs Mtibwa Sugar - Uhuru (Dar Es Slaam)
3. 14.10.2017 Kagera Sugar vs Yanga - Kaitaba (Kagera)
4. 22.10.2017 Stand United vs Yanga - Kambarage Shinyanga


Mchezo huo utafanyika 28.10.2017 Yanga vs Simba - Uhuru Dar Es Salaam.

No comments: