TAZAMA MABADILIKO YA RATIBA YA MECHI KATI YA SINGIDA UNITED NA KAGERA SUGAR UONE ILIVOKUA NA ILIVO SASA

Singida_United_F.C._Logo

Mchezo uliokuwa unapaswa uchezwe tar 23/09/2017 sasa umehamishiwa tar 24/09/2017.

Mabadiliko haya ni kutokana na uwanja wa Jamhuri kutumika kwa shughuli za Kijamii siku ya Jumamosi tar 23/0972017.

Tafadhali ukiisoma, share na wenzako
IMG-20170920-WA0005

No comments: