Mashabiki mkoani mwanza wamevamia uwanja wa CCM Kirumba kwa lengo la kumtazama m,shambuliaji wa klabu ya Simba Emmanuel Okwi
Okwi ambae alisajiliwa na klabu hiyo akitokea Club Villa ya pale nchini Uganda,na ameifungia klabu hiyo magoli 6 katika michez0 2 ya ligi kuu kitu ambacho kimemfanya kupendwwa zaidi na mashabiki wengi wa klabu hiyo.
No comments: