OKWI AKIKOMALIWA LAZIMA KICHUYA ATELEZE ONA ILIVO

Kichuya%252Bpic
Kocha Msaidizi wa Simba, Jackson Mayanja amesema kuwa wachezaji wake wote wana uwezo wa kufunga mabao na kwamba ukimkaba Emmanuel Okwi basi Shiza Kichuya atakufunga.

Simba wapo tayari jijini Mwanza na jana walikuwa uwanjani CCM Kirumba
wakijifua kuwavaa Mbao FC kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu utakaopigwa
leo Alhamisi.

Mwanza. Kocha Msaidizi wa Simba, Jackson Mayanja amesema kuwa wachezaji wake
wote wana uwezo wa kufunga mabao na kwamba ukimkaba Emmanuel Okwi basi
Shiza Kichuya atakufunga.
Simba wapo tayari jijini Mwanza na jana walikuwa uwanjani CCM Kirumba
wakijifua kuwavaa Mbao FC kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu utakaopigwa
leo Alhamisi.
Kocha Mayanja alisema kuwa vijana wake wapo fiti na wana uwezo wa
kufunga mabao, hivyo ukimkaba Okwi, basi ujue Kichuya au John Bocco
hawakuachi salama.
“Hatumtegemei mshambuliaji mmoja Okwi, ina maana ukimkaba huyo unampa
nafasi Kichuya kukumaliza, kwa hiyo mechi ya kesho lazima tushinde,”alisema Mayanja.


Ili kupata updates kamili kuhusu habari hii na nyinginezo nyingi Download app yetu HAPA bure kufurahia habari kali za michezo kila siku,pia usisite kututumia maoni yako. 

No comments: