Diddy na DJ Khaled wapo kwenye mazungumzo na kituo cha Tv cha Fox kwaajili ya kuwa majaji wa kipindi kipya cha Tv cha vipaji vya HipHop kilichopewa jina “The Four,”.
Mpaka sasa hakuna aliyesaini chochote, wanahitajika majaji wanne, Mdau mkubwa #Diddy ,Producer Mkubwa #DJKhaled, Mwandishi mmoja wa nyimbo za HipHop na Msanii mmoja wa HipHop, nafasi hizi mbili watahitajika wanawake.
Lengo la kipindi ni kugundua wasanii na vipaji vipya vya HipHop.
No comments: