Afisa habari wa klabu ya Simba ameendelea kuonyesha nia yake ya kutaka kuendeleza utani wa jadi hasa kwa wasemaji wa vilabu vikubwa hapa nchi ,Simba na Yanga.
Katika kuhakikisha hilo ameendelea kuwachokoza Yanga kwa kuposti ujumbe kuhusiana na safari yao ya kuelekea Mjini Bukoba kucheza mchezo dhidi ya Kagera Sugar.
Manara kupitia akaunti yak
Manara kupitia akaunti yake ya Insatgrama ameandika:-
Oyaaa angalieni jaman Bukoba mbali,,aste aste,,c mnaona mmekula koroboi kibaigwa, kwan siku hz vtu vya angani hamvioni?au ndio vile,,,ama kweli nyoya la kuku haliezeki nyumba,,,,dadadadeki, haya safari njema,,msitusahau bananassss 🙇🙇
Pata habari za Michezo kiganjani mwako kwa kudownload hapa.

No comments: