Simba Queens Sasa Kucheza Ligi Kuu Msimu Huu..



Simba Queens imeibuka na ushindi wa goli 3-0 dhidi ya Tanzanite katika mchezo wa ligi ndogo ya wanawake nchini.
Kwa matokeo haya Simba Wanapanda Daraja na sasa watashiriki Ligi Kuu Wanawake Tanzania Msimu wa 2017/2018.

No comments: