Video: Anachokitaka Dogo Janja ni kichapo nimesikia uzushi zake – Young Dee tazama vidio

Image result for Young Dee
Baada ya rapa Dogo Janja kusema mkali wa ‘Bongo Bahati Mbaya’ Young Dee ni teja, Dee amerudi upya na kumchimba mkwara rapa huyo kutoka Ngarenaro Republic.


Wawili hao hivi karibuni waliingia kwenye mgogoro wa kutupiana maneno baada ya rapa Young Dee kudai hataki kufananishwa na Dogo Janja kwa madai sio msanii wa level zake. Kauli hiyo ilimfanya Dogo Janja kudai rapa huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo, Utani Utani ni teja na kusisitiza zaidi kuwa hata yale aliyozungumza aliyazungumza alikuwa ametumia dawa za kulevya kauli ambayo ilikanushwa na rapa huyo kutoka King Cash.

No comments: