Davido afanya kweli kwa warembo wa Bongo

Fani ya mitindo inazidi kukua nchini Tanzania hasa kwa warembo kutokea katika video za muziki.

Kwa mujibu wa mwanamitindo Magge Vampire ameposti picha akiwa na msanii wa muziki kutoka Nigeria, Davido katika video yake mpya iliyotengenezwa kisiwani Zanzibar siku chache zilizopita.

No comments: