Ule mpira wenye saini za mastaa Ulaya watua Arusha


Dar es Salaam.  Unaambiwa Kituo cha Future Star’s kina mpira ambao walipewa na staa Bruno Martins wa Stoke City  ukiwa na saini za nyota  wa uholanzi ambao walicheza Kombe la Dunia 2014, Brazil.

Miongoni mwa majina ambayo yapo na saini zake ni Stefan de Vrij, Bruno Martins,  Daley Blind, Nigel de Jong, Daryl Janmaat na Jonathan de Guzmán.

Pia zipo saini ya nhodha wa wakati huo Robin van Persie na wengine ni  Wesley Sneijder, Arjen Robben, Jeremain Lens, Dirk Kuyt, Klaas-Jan Huntelaar, Memphis Depay na Georginio Wijnaldum.

No comments: