Huyu Hapa Mchezaji Ambae Hajagusa mpira kwenye Mchezo Kati Ya Yanga na Ndanda fc

Mshambuliaji wa pembeni wa klabu ya Yanga , Emmanuel Martine  leo hajafidi mabadiliko yaliyomuwezesha kuingia uwanja kuisaidia klabu yake ya Yanga katika kupata ushindi katika mchezo wa leo Ligi Kuu Tanzania.
IMG_20170923_174824

Emmanuel ambae ameingia zikiwa zimesalia dakika takribani 2 kumalizika kwa mtanange wa raundi ya Nne wa ligi kuu Tanzania  Mchezo ambao Yanga imeibuka na ushindi wa goli moja kwa bila goliblililofungwa na Ibrahim Ajib.

No comments: