Mfanyabiashara Yusuf Manji amefika kwa wakati asubuhi hii katika mahakama ya Hakimu mkaazi Kisutu jijini Dar es salaam kwaajili ya kusikiliza kesi inayomkabili ya kutumia dawa za kulevya.
Wiki iliyopita alichelewa mahakamani hapo hali iyosababisha kuiomba radhi mahakama.
Kesi imeanza kusikilizwa mbele ya Hakimu mkaazi Cyprian Mkeha
Wiki iliyopita alichelewa mahakamani hapo hali iyosababisha kuiomba radhi mahakama.
Kesi imeanza kusikilizwa mbele ya Hakimu mkaazi Cyprian Mkeha
No comments: