VIDEO: Matapeli wa benki kuu BOT wakamatwa

Jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es salaam inawashikilia watu wanne kwa tuhuma ya kutapeli watu fedha kwa madai ya kujipatia kipato kupitia benki kuu ya Tanzania BOT
Kamanda wa jeshi polisi Lazaro Mambosasa amesema kuwa watuhumiwa hayo walikua wanatumia mgongo wa benki kuu ya Tanzania BOT na kusema kuwa benki ina kiasi cha pesa za kutosha hivyo hivyo kupitia kampniyao Funfmark Investiment Company Ltd inatafuta wanachama wa kujiunga ili wapate gawio la pesa hizo kama amana.
TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI

No comments: