Hii ndo latiba kamili ya ligi kuu Tanzania Bara


Ligi kuu Tanzania bara inatarajiwa kuendelea kutimua vumbi wiki hii katika viwanja tofautitofauti na kuzikutanisha timu 14 zinashiriki ligi hiyo.
Ligi hiyo inatarajiwa kuendelea kunako siku ya Jumamosi ya 14.10.2017 ambapo dimba litafunguliwa na bingwa mtetezi wa ligi hiyo klabu ya Yanga kumenyana ugenini na Wanankurukumbi (Kagera Sugar)
Hii hapa ratiba kamili.
14.10.2017 Kagera Sugar vs Yanga Sc
14.10.2017 Mbao Fc vs Mbeya City
14.10.2017 Ndanda Fc vs Majimaji Fc
14.10.2017 Njombe mji vs Lipuli
14.10.2017 Ruvu Shooting vs Singida U.
14.10.2017 Stand U. vs Tanzania Prisons
Jumapili kunategewa kushuhudiwa viwanja viwili vikitimua vumbi.
15.10.2017 Mwadui vs Azam
15.10.2017 Simba vs Mtibwa.

No comments: