BREAKING NEWS: Kiwanda Cha Superdoll Dsm kinawaka moto

Moto mkubwa unawaka eneo la Keko Chang'ombe kwenye kiwanda cha mataili ya superdoll.


Kati ya magari 10 ya zimamoto moja ndilo lenye uwezo wa kuzima moto katika kiwanda cha Superdoll kinachoteketea kwa moto muda huu.
Tunafuatilia zaidi tutarudi na taarifa kamili. 

No comments: