Studio za filamu za Universal Pictures zimethibitisha kuwa filamu pendwa ya Fast And Furious 9 imepata tarehe mpya ya kutoka.
Filamu hii ilitegemewa kuonekana kwenye majumba ya Cinema April 10 2019 ila sasa itaonekana na kutoka rasmi April 10 2020.
Kwa mujibu wa Post ya Instagram ya Mwigizaji Vin Diesel Anasema “Hakuna wa kulaumiwa kuhusu mabadiliko haya, boss wa Universal Ron Meyer ameona ni vyema anipe nafasi ya kuboresha zaidi filamu hii ikiwa mpaka sasa tumeweza kupita kwenye barabara nane sehemu tofauti, sasa tunahitaji marekebisho zaidi”
No comments: