Tabia zinazoathri afya zetu kwa kiwango kikubwa

Kuna tabia ambazo zimekuwa zikiathiri afya zetu kwa kiwango kikubwa. Kuna wakati tunafanya hivyo aidha kwa kutokujua au kwa kujua.
Hivyo miongoni mwa tabia hizo ambazo huathiri afya zetu kwa kiwango kikubwa ni kama ifuatavyo;
Ulaji mbaya wa chakula ni moja ya athari ambayo huathiro afya zetu moja kwa moja. NaHapa ndipo watu wengi wana angukia, kuna makundi mawili ya ulaji mbaya wa chakula ambapo ni;
1.Ratiba mbaya ya kula chalula.
Watu wengi hawana ratiba nzuri ya kula na wengi huchelewa kula kwa madai kazi zina watinga. Lakini ukweli ni kuwa ukichelewa kula una ua mwili wako taratibu, magonjwa kama vidonda vya tumbo yamekua yaki wasumbua watu wengi kutokana na kushindwa kula kwa wakati.
Kula usiku sana hupelekea mwili kutunza mafuta na ku ongezeka uzito. Kupoteza uwezo wa kufikiri,na kusinyaa kwa ubongo kutokana na kukosa cha nguvu kwa muda mrefu.
2.Kula vyakula hatarishi
Ulaji wa vyakula vya sukari kwa wingi,chumvi na kahawa hupelekea magonjwa kama shinikizo la damu na kusukari pia kuongezeka uzito kupunguza uwezo wa moyo kufanya kazi na kuathiri uwezo wa kufikiri.
Hivyo ili kuepuka mathara yatikonayo na ulaji mbaya wa chakula, unachotakiwa kufanya ni kufuata ratiba ya kula, pia kuachana mara moja kula vyakula hatarishi. Tabia zinazoathri afya zetu kwa kiwango kikubwa

No comments: