VIDEO: Kiongozi Bongo Movie aikosoa kampeni ya ''uzalendo kwanza''


Makamu mwenyekiti wa chama cha filamu Tanzania amesema kampeni ya uzalendo kwanza ni kauli ya mtu mmoja, hivyo kutokana na wasanii hawajatengeneza filamu kwa mda mrefu hivyo mtu akija na kampeni yake huwa wanafanya kutokana na njaa ambayo wanashindwa kuhimili.

Aidha ameongeza kuwa kauli ya uzalendo ni kauli ambayo inabidi mtu itoke moyoni lakini ikiwa ni kutokana na njaa uzalendo hautawapo. hivyo wasanii kama wana lengo la kufuikisha kauli ya uzalendo waache njaa na wasimamie kampeni wanayofanya.

No comments: