Katika michuano ya Kombe la Shirikisho hatua ya Robo fainali jana klabu ya Tp Mazembe ilifanikiwa kusonga mbele baada ya kuifunga Hilal Obeyed bao 5-0.
Kwa ushindi huo Tp Mazembe itakuatana na FUS Rabat hatua ya Nusu fainali, nayo Club Afican imeichapa Mc Alger bao 2-0 na kusonga mbele ambapo itakutana na Supersport Utd hatua ya Nusu fainali. Katika kombe la klabu bingwa Etoile Du saheil jana imeichapa Al Ahil Tripol bao 2-0.
No comments: