Rado;Wema sio wife material sidhan ata kama anaweza kufua

Image result for rado pichaImage result for wema sepetu picha
Muigizaji wa filamu, Rado amefunguka kwa kudai kuwa Wema Sepetu sio aina ya wanawake ambao anaweza kuoa kutokana na jinsi alivyo. Muigizaji huyo ambaye ameigiza filamu moja na Wema Sepetu iitwayo, Madame, amedai mrembo huyo wa filamu ni mlegevu na ni mtu wa kudeka muda wote.

No comments: