Hii Hapa Taarifa Sahihi Juu Ya Hali Ya kikosi Cha Yanga na Huyu ndie atakaeukosa mchezo wa kesho.

IMG-20170929-WA0015

Afisa habari wa klabu ya Yanga amesema kua hali ya kikosi cha klabu hiyo kuelekea mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar.


Asubuhi ya leo ilutoka taarifa kutoka kwa daktari wa klabu hiyo ikiripoti juu ya za kuumia kwa kiungo wake Thaban Kamusoko katika mazoezi ya Asubuhi Ya leo huku akisema kua vipimo vitatoa maamuzi ya kama atacheza au la.


Hata hivyo kwa mujibu wa Msemaji huyo wa Yanga mpendwa msomaji wa vyankende.com ameweka wazi kua mchezaji pekee atakaeendelea kukosekana mchezoni ni Amis Tambwe licha yakua tayari amesharejea kikosini na kufanya mazoezi na wachezaji wengine.

Taarifa hii inakamilisha usemi wa kocha wa klabu hiyo George Lwandamina ya kua huenda tusimuone Tambwe uwanjani hivi karibuni kutokana na kua hahitaji kuharakisha kumrejesha uwanjani hadi atakapokua sawa.

Vile vile taarifa njema nijuu ya kurejea kikosini kwa kiungo wa klabu hiyo Pius Buswita.

No comments: