New Audio: Barnaba – Nampaga

Wakati akiendelea kufanya vizuri na ngoma ‘Mapenzi Jeneza’, msanii wa muziki Bongo, Barnaba ameachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina Nampaga.

No comments: