Tanzania yang’ara mkutano UN, Rais Dkt. Magufuli atajwa kuvutia wengi

Tanzania imezidi kung’ara kimataifa mara baada ya viongozi mbali mbali kuizungumzia vizuri katika mkutano wa 72 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN) unaoendelea nchini Marekani

Katika mkutano huo Tanzania imewakilishwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga ambaye pia amemwakilisha Rais Dkt. John Magufuli. Dkt. Mahiga amesema Tanzania imepata sifa hizo kutokana na utendaji kazi wa serikali ya awamu ya tano.
Chini taarifa kamili

No comments: