Naibu Spika Dr Tulia afurah na watu wake wa mbeya


mara nyingine tena Naibu Spika Dr Tulia Ackson kupitia taasisi ya Tulia Trust amefanya uzinduzi wa tamasha la ngoma za jadi uliofanyika katika viwanja vya Tandale mkoani Mbeya linalofahamika kwa jina la Tulia Traditional Dances Festival 2017 lengo likiwa ni kuuenzi utamaduni wa Tanzania.

No comments: