MICHEZOHarry Kane aibeba Spurs ugenini na kuweka rekodi

Image result for Harry Kane picha
Mshambuliaji wa klabu ya Tottenham Hotspur, Harry Kane jana usiku ametupia magoli matatu dhidi APOEL Nicosia na kuweka rekodi msimu huu kuwa mchezaji wa kwanza kupiga Hatrick kwenye michuano ya Klabu Bingwa barani Ulaya.

No comments: