maneno yaliyo semwa na professor yay baada ya diamond kumkubali mtoto wa nje

Image result
Mbunge wa Mikumi na staa wa HipHop Tanzania Professor Jay ametoa ya moyoni kuhusu msanii Diamond Platnumz baada ya kuzikiliza maneno yake kuhusu skendo ya kuw ana mtoto na model maarufu Tanzania Hamisa Mobetto.
Kupitia Instagram yake Profesa Jay aliandika maneno haya “Ukweli humuweka Mtu huru KWELIKWELI.. Big up mdogo wangu @diamondplatnumz  Umekuwa Mfano bora sana.”

No comments: