Mambo manne tuliyojifunza kuhusu Beef la Peter na Paul wa P Square kutoka kwa wakili wao
Labels:
Burudani
Wakili wa P Square, Festus Keyamo ameongelea kuvunjika kwa kundi hili la wasanii mapacha kutoka Nigeria, Video inayosamba mtandaoni kuhusu ugomvi wao kwenye ofisi zake na wake zao kuhusika kwenye drama hizi.
Festus anasema
>Tumetumia nguvu zetu kwa muda mrefu kuwaka sawa mahusiano ya vijana hawa mapacha
>Tumetumia nguvu zetu kwa muda mrefu kuwaka sawa mahusiano ya vijana hawa mapacha
>Ofisi zetu hazijahusika kwenye kusambaza au kutoa taarifa zozote kuhusu tofauti za wasanii hawa ambao ni wateja wetu kwa muda mrefu [Video na mktataba wao]
>Hakuna mwana familia yoyote wa Okoye ambaye maisha yake yako hatarini [Baada ya tetesi kuwa Jude Okoye ametishia maisha ya Peter na familia yake].
>Wake zao hawahusiki kabisa kwenye matatizo yao, kwanza wameweza kukaa mbali kabisa na mambo yao ya muzik
No comments: