
Katibu wa wizara ya nguvu kazi Maryam El Maawy ambaye alishambuliwa na alshabab amefariki akipatiwa matibabu nchini Afrika Kusini.
Ikulu ya rais nchini Kenya imethibitisha kifo cha El Maawy.

Related posts
Reviewed by Informalblogsport
on
12:38
Rating: 5
No comments: