Kocha wa mbao FC atua Yanga

kocha-wa-mbao-etienne-ndayiragije_1nxtcc4qysocs1x3rsajiyaiu4
Kocha mkuu wa klabu ya Mbao,Etienne Ndayiragije anaripotiwa kuelekea Yanga kwenda kuongeza nguvu kwenye benchi la Ufundi.


Kocha huyo ambae ameiongoza klabu hiyo kwa mafanikio makubwa huku akiipeleka katika fainali ya kombe la shirikisho ambapo klabu hiyo ilifungwa na klabu ya Simba katika mchezo wa fainali.


Ndayiragije anatua Jangwani wakati klabu hiyo ikiwa katika wakati mgumu hasa upande wa kupata matokeo ambayo hayaridhishi hivyo kuingia kwake katika benchi la ufundi la klabu hiyo kunaweza kubadilisha hali ya kikosi kwa ujumla.

Mpendwa msomaji wa vyankende.com tupatie mtazamo wako juu ya hili wewe unahisi Yanga wamefanya chaguo sahihi kumchukua kocha huyu?..

Chanzo EFM Radio

No comments: