VIDEO: Sheikh Ponda apewa siku tatu kujisalimisha Polisi

Kamanda wa Polisi kanda maalumu Dar es salaam Lazaro Mambosasa ametoa siku tatu kwa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda kulipoti kwa ZCO ili aweze kuhojiwa kufuatia mkutano alioufanya jana na wandishi wa habari jijini Dar es salaam.
Kamanda Mambosasa amesema hayo leo alipokua akizungumza na waandishi wa habari leo na kumtaka Sheikh Ponda afike ili aweze kuhojiwa na kama atakutwa na kosa la jinai ambalo anadaiwa kulifanya aweze kufikishwa kwenye vyombo husika.
Tazama video chini


by:grasian donasian

1 comment:

  1. Casino Online - Dr. MD
    The site is the ultimate portal for all 목포 출장마사지 information, 시흥 출장샵 games and royalty-free access to all you need 통영 출장마사지 to know about online 경상남도 출장마사지 gambling and the state 이천 출장샵 of Maryland. Rating: 4.2 · ‎14 reviews

    ReplyDelete