Taarifa ya leo asubuhi kutoka simba



Kamati maalumu ya kusimamia mchakato wa dhabuni ya kumpata mwekezaji kwenye muundo mpya wa klabu ya Simba ,Kesho Jumamosi tare 07.10.2017 saa tano kamili Asubuhi itazungumza na waandishi wa habari kuhusu maendeleo ya mchakato wa Zabuni hiyo.
Mkutano huo ambao utafanyika kwenye ukumbi wa mkutano kivukoni 3 ulioko kwenye Hotel Ya Serena jijini Dar es salaam.

No comments: