Taarifa Ya TFF Kuhusu Mechi Ya Kesho Dhidi Ya Malawi.

Shirikisho la soka nchini limetangaza viingilio vya mechi kati ya timu ya taifa ya Tanzania dhidi ya timu ya taifa ya Malawi.


Tanzania i atarajiwa kushuka dimbani Jumamosi ya tarehe 07.10.2017 kumenyana na timu ya taifa ya Malawi katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliko katika kalenda ya FIFA mchezo unaotarajiwa kupigwa katika dimba la uhuru majira ya saa 16:00 jioni.
Viingilio hivyo vitakua kama ifuatavyo:-
VIP: 5000/-
MZUNGUKO: 30,000

No comments: