Afisa habari wa klabu ya Simba ameendelea kurusha makombora yake upande wa pili jwa kila wanalopanga kufanya.
Hivi karibuni klabu ya Yanga imetangaza kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya klabu ya ya Manispaa ya Kinondoni(KMC), Sasa baada ya Haji Manara kuiona hiyo afunguka haya.
Haji Manara Kupitia Akaunti yake ya Instagram ameandika ujumbe huu: "Nchi ya ajabu sana hii!!ikicheza Simba,game kama hz mnasema twacheza ndondo!!sasa nyie mnacheza nn;okey,mnacheza Njugumawe au kunde,,,Shubamit!!" Ambao moja kwa moja unailenga Yanga bila kupepesa macho.
No comments: