Ana utajiri wa dola Bilioni 3.1 za Kimarekani ila hajaingia benki kwa zaidi ya miaka 30
Labels:
Burudani
Mtangazaji maarufu mwenye ushawishi mkubwa duniani
Oprah Winfrey,63, amesema anamiaka 30 toka akanyage Ktka benki yoyote.
Oprah kasema hii kauli akiwa na mtangazaji Ellen De Generes, amekiri kuwa hivi karibuni alienda benki kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 30 kuweka cheki ya dola milioni 2 za Kimarekani [Zaidi ya bilioni 2 za Tz], mara yake ya mwisho kuingia benki ilikuwa mwaka 1988.
Oprah Winfrey anatajwa kuwa na utajiri wa dola za kimarekani Bilioni 3.1, anasema alifika benki na kupanga foleni kama watu wengine tu ili kuweka pesa zake.
No comments: