Habari za hivi punde:Ajari ya ndege yauwa watu 7



Askari 7 waripotiwa kufariki katika ajali ya helikopta iliotokea katika jimbo la Durango Kaskazini mwa Mexico.
Waziri wa ulinzi wa Mexico alifahamisha katika tangazo kuwa halikopta moja ya jeshi iliosajiliwa kwa nambari Bell 412 ilifanya ajali wakati wa mazoeizi.
Hakuna taarifa zaidi zilizotolewa kuhusu sababu zilizopelekea ajali hiyo.
Wanajeshi wamefariki kataika ajali hiyo na mwanajeshi mmoja kujeruhiwa vikali. Wanajeshi 7 wafariki katika ajali ya helikopta nchini Mexico

No comments: