#
TMZ Imeripoti kuwa Mdogo wake Kim Kardashian ‘Kylie Jenner’ ni mjamzito, Staa huyu wa vipindi vya Tv ameripotiwa kutegemea mtoto wake wa kwanza na mpenzi wake ambaye ni rapa Travis Scott.
Awali Kylie mwenye umri wa miaka 20 aliwahi kuwa na mahusiano na rapa Tyga ambaye baada ya habari hizi kutoka alikanusha haraka kuwa mtoto sio wake kwa kuandika SnapChat “Hell nah that’s my kid”
Kylie na Travis wamekuwa pamoja kama wapenzi toka April 2017
No comments: