Taarifa Kutoka Lipuli FC Iliyotufikia Hivi punde katika Meza Yetu Ya Michezo.


0Fuj9Act_400x400
Klabu ya Lipuli "Wanapalihengo" jioni ya 21,09,2017 imewasili Jijini Dar es salaam kwaajili ya kuikabili klabu bingwa Afrika mashariki na kati Azam Fc katika mchezo wa ligi kuu Tanzania.

Lipu itakua mgeni wa Azam Fc katika mchezo namba 4 wa ligi hiyo mchezo utakaopigwa katika uwanja wa Azam Complex.

Kwa mujiubu wa msemaji wa Klabu huyo amesema "timu imefika leo jijini Dar salama tayari kwa kuivaa Azamfc siku ya jumapili wiki hii"

No comments: