NYOTA YA DAIMOND YAWAKA MAREKAN TAZAMA LIST YA WASANII WANAO MKUBALI

Related image
Diamond Platnumz anazidi kuzichukua headlines za burudani kila siku huku akipeperusha vizuri bendera ya Tanzania na Afrika katika ulimwengu wa muziki kimataifa na kujiongezea mashabiki na umaarufu mkubwa.
Stori ni kwamba sasa idadi ya mastaa wa Marekani wanaomkubali Boss huyo wa WCB inazidi kuongezeka baada ya DJ Khaled kum-follow kwenye account yake ya Instagram. Hii inakuja siku chache baada ya rapa Rick Rose

No comments: