Magoli ya Madrid yamefungwa na Gareth Bale dakika 18 kipindi cha kwanza na mawili yakipigwa na Cristiano Ronaldo kipindi cha pili.
Goli pekee la Borussia Dortmund lilifungwa na Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 54 kipindi cha pili.
Kwenye msimamo wa kundi H Mdrid wanaongoza kwa pointi 6 wakifuatiwa na Totternham Spurs wenye pointi 6 wakitofautiana kw magoli tu.
No comments: