FILAMU ni kama bado inaendelea zaidi na zaidi hasa baada ya leo hii tena Diamond dizaini fulani kama anawajia juu watu wote ambao wanapanga kumshusha.
Pia anaonekana kula sahani moja na wale ambao walikuwa wakimpa madongo mazito juu ya kutokuwa na uwezo wa kupata watoto wakimuita ‘mgumba’.
“Chawa KATU hauliwi kwa DOLE GUMBA…… Leo kawa Baba WATATU yule walomuitaga MGUMBA….” Ameandika katika mtandao wake wa
No comments: