zimepita tangu Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu apigwe risasi na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake Dodoma kisha kupelekwa kwenye matibabu katika Hospitali ya Nairobi Kenya huku watu wa jamii mbalimbali wamekuwa wakihamasishwa kuchangia huduma za matibabu yake.
Watu mbalimbali wameendelea kumtembelea Lissu Hospitali kumjulia hali na miongoni mwao ni Mbunge wa Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu ambaye kupitia account zake za Twitter na Facebook ameeleza kuwa wanasubiri ripoti ya Madaktari kujua mwenendo wa matibabu ili kuwapatia madaktari bingwa wa Marekani.
No comments: