Mke wa mchekeshaji Kevin Hart ‘Eniko Hart’ ameanza ulinzi mkali kwa mume wake baada ya skendo kubwa ya usaliti.
Baada ya usaliti huo Eniko Hart ametaka mume wake Kevin Hart kumpa Maneno na Namba za SIRI Za simu zake zote na ametaka Uhuru wa kushika simu za mumewe muda wowote anaotaka.
Eniko ameelewa kuwa Kevin Hart alipitiwa na SHETANI na sasa hataki tena jambo hili litoke, Kevin na Eniko wanategemea kupata mtoto wao wa kwanza ila Kevin tayari ana watoto wa wili wa ndoa iliyopita.
No comments: