HII NDO KIKI ILIO MUUNGANISHA DIAMOND PLATINUIM NA MASTAA WA KUBWA WA MAREKAN

Image result for diamond platnumz
Baada ya kuchaguliwa Kama Balozi wa Kinywaji cha Bellaire, Diamond Platnumz kwa sasa anaungana na mastaa wakubwa Marekani katika kuwa mabalozi wa Kinywaji hicho. Mastaa hao wa Hollywood ni pamoja DJ Khaleed, Rick Ross na French Montana.

No comments: