Mchezaji wa Borussia Dortmund Pierre Emerick Aubameyang amevuta ndinga mpya nakuwaonyesha mashabiki wake
Akiwa ni miongoni mwa wachezaji wanaowaniwa na klabu tofauti za Bundesliga huku akifunga magoli Nane kwenye game Sita.
Gari aliyonunua Aubameyang ni Metallic Lamborghini Murcielago yenye thamani ya Pound £150,000.
No comments: